Regional Cooperation 6. Kujumuika na mataifa mengine

Mradi wa SMASSE umesambaza mwenendo wa ASEI na mtindo wa PDSI kwenye masomo ya hesabu na sayansi kwa baadhi ya nchi za Afrika. Mradi huu umewaelimisha washikadau wa elimu, na pia kukubali kufundisha maofisa kutoka nchi nyingine hapa Afrika.

Kumekuwa na mikutano miwili ya kimataifa hapa. Ule wa kwanza ulifanyika 2001 Februari ambapo nchi 11 za Afrika zilihudhuria, na wa pili ulikuwa 2002 Juni, na nchi 13 ziliwakilishwa. Walioshiriki waligundua kuwa wako na tabu za kipamoja, kwa hivyo ikaonekana muhimu kuanzishwa kwa SMASSE Afrika kusambaza ASEI na PDSI kama njia yenye mafanikio. SMASSE Kenya ndiyo makao makuu ya SMASSE Afrika.

Dr. Talisayon kutoka Philippines
Bw. Banda kutoka Zambia
Bw. Adu kutoka Ghana

Nchi zilikozo memba za SMASSE Afrika


Juu