Monitoring and Evaluation 4. Uchunguzi na ukaguzi wa mradi

Uchunguzi na ukaguzi hufanywa kwa sababu zifwatazo:

Mradi umetayarisha mbinu za kuuwezesha kuchunguza na kukagua maendeleo yake kuhusu

JICA hukagua mradi kutumia vipengeleo vifwatavyo:

  1. utumizi wa mali, vifaa na wakati
  2. wakati unaochukua kupatikana matokeo yatarajiwayo
  3. kujisimamia/tosheleza kwa mradi
  4. umuhimu wa mradi
  5. usambazaji wa ujuzi unaopatikana
Mradi ulipata alama nyingi kwenye ukaguzi wa 2000 uliofanywa na JICA.


Juu