2. Mtiririko wa ujuzi unaopatikana katika washa
2-1 Mtiririko wa ujuzi unaopatikana
Kuna aina mbili za washa, moja ya kitaifa na nyengine wilayani. Kwa ngazi ya kitaifa, wakufunzi hufundisha walimu watakaofundisha wenzao wilayani. Mchoro ulioko hapo chini unaonyesha utaratibu huu.
Mahudhurio ya kila mkondo unaochukua siku kumi za kazi ni kama inavyoonekana hapa chini:
2-2 Washa ya daraja la kitaifa
| Mkondo | @ | Waliohudhuria |
| 1 | Aug 1999 | 134 |
| 2 | Aug 2000 | 190 |
| 3 | Apr & Aug 2001 | 104 & 177 |
| 4 | Aug 2002 | 193 |
| Mkondo | @ | Waliohudhuria |
| 1st | Apr 2000 | 1,835 |
| 2nd | Apr & Aug 2000 | 1,437 & 1,221 |
| 3rd | Apr 2002 | 1,677 |
Utafiti uliofanywa mwanzoni mwa mradi wa SMASSE mnamo mwaka 1998 kuchunguza chanzo cha matokeo mabaya kwenye masomo ya hesabu na sayansi ulizindua sababu zifwatazo:
![]() |
![]() |
![]() |
|
|
Washa ya daraja la wilaya
|
Maono
|
ASEI na PDSI
|