SMASSE Homepage
Mkazo wa masomo ya Hesabu na Sayansi katika shule
|
Activity, Student Centred, Experiment & Improvisation
Vitendo, Kulenga wanafunzi, Majaribio na Mwigizo
Yaliyomo yalibadilika Oktoba 18, 2002.
@
1. Karibu SMASSE
![]() |
![]() |
![]() |
|
|
Kenya Science T. C.
|
Ufunguaji wa ofisi mpya
|
Makao makuu ya SMASSE
|
SMASSE ni mradi wa pamoja baina ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Ufundi, Kenya (MoEST) na Tahasisi ya Muungano wa Kimataifa wa Japan (JICA), ulioanzishwa 1/7/1998.
Dhumuni la mradi huu ni kuwawezesha wanafunzi kufanya vyema katika masomo ya hesabu na sayansi (fisikia, elimu ya viumbe hai na kemia).
Lengo la mradi wa SMASSE ni kukomaza masomo hayo kupitia washa za walimu ambao tayari wanafundisha katika shule za upili.
Baina ya matarajio ya mradi huu ni;
1-2 Taarifa kwa Kifupi ya SMASSE
| @ | Wilaya za mradi huu* |
Uchini | Asilimia kwa maradi huu |
|---|---|---|---|
| Idadi za wilaya | 15 | 70 | 21% |
| Shule za upili | 848 | 3,028 | 28% |
| Walimu wa hesabu na sayansi | elf 3 | elf 10 | 30% |
| Wnafunzi wa kidato cha 1-4 | elf 180 | elf 69 | 38% |
| Idara | Wakenyan | Wajapani | Jumla |
|---|---|---|---|
| Administration | 2 | 2 | 4 |
| Mathematics Education | 7 | 1 | 8 |
| Physics Education | 7 | 1 | 8 |
| Chemistry Education | 6 | 1 | 7 |
| Biology Education | 6 | 1 | 7 |
| Education Evaluation | 0 | 1 | 1 |
| Total | 28 | 7 | 35 |
| Samahani, sehemu hii bado inaendelea kujengwa. |
Uwasiliano:
|
SMASSE INSET Unit,
Kenya Science Teachers College, P.O.Box 30596, Nairobi, 00100, Kenya Tel: +254-2-573680, 573811, Fax: 573811 info@smasse.org |